Inatokea, siku mbaya alafu haisongi,,, ata kwa mwiko gan...
Kwa MUNGU nfanye maombi,,, majibu alete shetan...
Inatokea, tunaanza tu ubest, mwisho tunakuwa wachumba...
Mwanzo wakujaza chest, sindio kujenga mwili nyumba...
Ninywe tu moja moja,, mwisho wa saa ndo nayumba...
Inatokea, anaeniroga,,nae dunia inamfunza...

Inatokea, siku mbaya alafu haisongi,,, ata kwa mwiko gan... Kwa MUNGU nfanye maombi,,, majibu alete shetan... Inatokea, tunaanza tu ubest, mwisho tunakuwa wachumba... Mwanzo wakujaza chest, sindio kujenga mwili nyumba... Ninywe tu moja moja,, mwisho wa saa ndo nayumba... Inatokea, anaeniroga,,nae dunia inamfunza... 🤔
Like
1
· 0 Reacties ·0 aandelen ·68 Views