Bongo wapi kuwa Boss.. kulinda losi za Tajiri...
Nikimisi tu misosi nakula pozi la kikatili...
Sina noti za kishua na make sure najua Mengi...
Wanavimba wakipata.. wakikosa ni wanyonge...
Ata madem wanadata bila mlango tu uwagonge...