HERI YA MIAKA 105 YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA MHESHIMIWA PADRE LUI.
- Leo Juni 30, 2024 tuungane na kumpongeza sanjari na kumwombea Mheshimiwa Padre Lui Shayo wa Jimbo Katoliki Moshi, ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 105 ya kuzaliwa.

- Padre Lui Shayo alizaliwa Juni 30, 1919, aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre Juni 25, 1950 na kwa sasa yuko nyumba ya mapumziko Longuo, Jimbo Katoliki Moshi.

- Hongera sana Padre Lui Shayo Wanafamilia wa Radio Maria Tanzania tunakuombea afya njema.
.
.
Source : Radio Maria Tanzania Radio Maria in the World
HERI YA MIAKA 105 YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA MHESHIMIWA PADRE LUI. - Leo Juni 30, 2024 tuungane na kumpongeza sanjari na kumwombea Mheshimiwa Padre Lui Shayo wa Jimbo Katoliki Moshi, ikiwa ni kumbukumbu ya miaka 105 ya kuzaliwa. - Padre Lui Shayo alizaliwa Juni 30, 1919, aliwekwa wakfu katika Daraja Takatifu ya Upadre Juni 25, 1950 na kwa sasa yuko nyumba ya mapumziko Longuo, Jimbo Katoliki Moshi. - Hongera sana Padre Lui Shayo Wanafamilia wa Radio Maria Tanzania tunakuombea afya njema. . . Source : Radio Maria Tanzania Radio Maria in the World
0 Reacties ·0 aandelen ·96 Views