enzi tumetoka majalaLA yaaan tulikuwa hatuna ata pakulaLA
tulikuwa kero kwa jamAA na tulitengwa na mitAA
never give up ndo kauli ilotumiKA nasi tukawa shupavu kwakuamini tutafiKA
tulitembea road kutoka zuzu to mengi magotofA kwenda kusaka life japo hakuna alopingA
enzi tumetoka majalaLA yaaan tulikuwa hatuna ata pakulaLA tulikuwa kero kwa jamAA na tulitengwa na mitAA never give up ndo kauli ilotumiKA nasi tukawa shupavu kwakuamini tutafiKA tulitembea road kutoka zuzu to mengi magotofA kwenda kusaka life japo hakuna alopingA
Like
1
· 0 Commentarii ·0 Distribuiri ·91 Views