nawaza nakuwazua akili inakosa majiBU mwili unakosa utulivu moyo unanyongonyea taratiBU
kinachoniuma zaidi yani nimezaliwa kwa taBU nimekua kwa taBU na kufa nife kwa taBU ila nadhambi nying si bora nikatuBU
tuombe na kusaLI kwa mungu tupate vibaLI
sijiombei kifo ila tu nawapa habaRI hii dunia sio yetu kwetu mbinguni japo kufika sio bure kikubwa muwe mna saLI
nawaza nakuwazua akili inakosa majiBU mwili unakosa utulivu moyo unanyongonyea taratiBU kinachoniuma zaidi yani nimezaliwa kwa taBU nimekua kwa taBU na kufa nife kwa taBU ila nadhambi nying si bora nikatuBU tuombe na kusaLI kwa mungu tupate vibaLI sijiombei kifo ila tu nawapa habaRI hii dunia sio yetu kwetu mbinguni japo kufika sio bure kikubwa muwe mna saLI
Like
Love
4
· 0 Kommentare ·0 Anteile ·290 Ansichten