nimeyapoteza maisha.. kwahyo nipotezeeni tUU
msingi bora maarifa.. na ndo huu msingi mkUU
vunga mko high.. na mawazo ya kisheNZI
tumepewa uhai.. ila duniani tupo kimatembeZI
utajiri wa kwanza afya.. japo maisha yale yaLE
usiishi kimafya.. mbinguni ndo makazi ya mileLE
yanini kusoma.. kiwa kwa mungu ntasomeWA
Street pesa hakuna na maandiko yanasema.. ombeni mtapeWA
nimeyapoteza maisha.. kwahyo nipotezeeni tUU msingi bora maarifa.. na ndo huu msingi mkUU vunga mko high.. na mawazo ya kisheNZI tumepewa uhai.. ila duniani tupo kimatembeZI utajiri wa kwanza afya.. japo maisha yale yaLE usiishi kimafya.. mbinguni ndo makazi ya mileLE yanini kusoma.. kiwa kwa mungu ntasomeWA Street pesa hakuna na maandiko yanasema.. ombeni mtapeWA
Love
1
· 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·198 Views