siku zote kifo ndio ukomo wa KIBURI
sijui kwanini kilikuja kuondoa KAULI
nyumba ya milele imejengwa ndani ya KABURI
NILIMPENDA bibi NIKAMPENDA babu ila kifo KIKAWAPENDA