KWA HERI 2024
naandika hii verse,
nikiwa sina uhakika,
kama mwaka huu 2025,
nitavuka,
maana maisha yamekuwa
mafupi,
muda wowote naweza
nikakata pumzi,
ila sina budi kushukuru,
mpaka leo napumua,
bila kulipa ushuru,
na Mungu kaniwekea nuru,
ili watesi wangu,
wasije wakanidhuru,
mwaka huu 2024 ulikuwa Mgumu,
ndo mwaka tuliopoteza marafiki na Ndugu,
kila la heri mwaka 2024,
kwangu ulikuja kama mpizan,
biashara zangu ziliingia kisiran,
posho ikawa adimu nyumban,
wife anauliza kulikon,
namwambia tungoje mwakan,
maana mwaka huu mtihan,
nazid kuongeza juhud na sala,
mwaka huu uwe mwaka
mwema inshallah,
posho ifike mpaka nyumban,
madogo wapate ada
waende shuleni,
Mungu nikushukuru,
kwa kuzid kunipigania
Muhuni,
japo bado najifunikia Ngumi,
life tyt sana mtaani,
kwako baba sijatoa Iman,
nangoja baraka zangu
mashakani,
naandika hii verse,
nikiwa sina uhakika,
kama mwaka huu 2025,
nitavuka,
maana maisha yamekuwa
mafupi,
muda wowote naweza
nikakata pumzi,
ila sina budi kushukuru,
mpaka leo napumua,
bila kulipa ushuru,
na Mungu kaniwekea nuru,
ili watesi wangu,
wasije wakanidhuru,
mwaka huu 2024 ulikuwa Mgumu,
ndo mwaka tuliopoteza marafiki na Ndugu,
kila la heri mwaka 2024,
kwangu ulikuja kama mpizan,
biashara zangu ziliingia kisiran,
posho ikawa adimu nyumban,
wife anauliza kulikon,
namwambia tungoje mwakan,
maana mwaka huu mtihan,
nazid kuongeza juhud na sala,
mwaka huu uwe mwaka
mwema inshallah,
posho ifike mpaka nyumban,
madogo wapate ada
waende shuleni,
Mungu nikushukuru,
kwa kuzid kunipigania
Muhuni,
japo bado najifunikia Ngumi,
life tyt sana mtaani,
kwako baba sijatoa Iman,
nangoja baraka zangu
mashakani,
KWA HERI 2024
naandika hii verse,
nikiwa sina uhakika,
kama mwaka huu 2025,
nitavuka,
maana maisha yamekuwa
mafupi,
muda wowote naweza
nikakata pumzi,
ila sina budi kushukuru,
mpaka leo napumua,
bila kulipa ushuru,
na Mungu kaniwekea nuru,
ili watesi wangu,
wasije wakanidhuru,
mwaka huu 2024 ulikuwa Mgumu,
ndo mwaka tuliopoteza marafiki na Ndugu,
kila la heri mwaka 2024,
kwangu ulikuja kama mpizan,
biashara zangu ziliingia kisiran,
posho ikawa adimu nyumban,
wife anauliza kulikon,
namwambia tungoje mwakan,
maana mwaka huu mtihan,
nazid kuongeza juhud na sala,
mwaka huu uwe mwaka
mwema inshallah,
posho ifike mpaka nyumban,
madogo wapate ada
waende shuleni,
Mungu nikushukuru,
kwa kuzid kunipigania
Muhuni,
japo bado najifunikia Ngumi,
life tyt sana mtaani,
kwako baba sijatoa Iman,
nangoja baraka zangu
mashakani,
0 Комментарии
·0 Поделились
·464 Просмотры