BREAKING NEWS

Klabu ya Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu.
.
Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi.

KARIBU UNYAMANI AUGUSTINE

Follow ukurasa wetu

.

#cktvtanzania
BREAKING NEWS Klabu ya Simba imethibitisha rasmi kukamilisha usajili wa kiungo mkabaji Augustine Okajepha raia wa Nigeria ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ kutoka Rivers United kwa mkataba wa miaka mitatu. . Okajepha ni mchezaji kijana mwenye umri wa miaka 20 aliyetunukiwa kipaji kikubwa katika idara ya kiungo wa ulinzi. KARIBU UNYAMANI AUGUSTINE Follow ukurasa wetu . #cktvtanzania
0 Comments ยท0 Shares ยท515 Views