"Yani mimi napendaga sana kuwa mama wa Familia, napenda niwe na mume wangu nimpikie chakula kizuri kwasababu najua sana kupika, sema ndio sinaga hiyo bahati"- Kajala

Mpe neno Moja Kwake

#cktvtanzania
"Yani mimi napendaga sana kuwa mama wa Familia, napenda niwe na mume wangu nimpikie chakula kizuri kwasababu najua sana kupika, sema ndio sinaga hiyo bahati"- Kajala Mpe neno Moja Kwake ✍️ #cktvtanzania
0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·135 Visualizações