Upgrade to Pro

Goli la dakika ya 90 likiwekwa wavuni na Ollie Watkins limeiwezesha England kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Uholanzi, ambao unaifanya timu hiyo kuingia Fainali ya Michuano ya UEFA Euro 2024

Uholanzi ilikuwa ya kwanza kufunga kupitia kwa Xavi Simons dakika ya 7, England ikasawazisha mfungaji akiwa Harry Kane dakika ya 18 kwa njia ya penati, hivyo Fainali itapigwa Julai 14, 2024 itakuwa ni dhidi ya Hispania Jijini Berlin Nchini Ujerumani

Uhispania inawania kubeba taji hilo kwa mara ya nne wakati England inawania kwa mara ya kwanza
#cktvtanzania
Goli la dakika ya 90 likiwekwa wavuni na Ollie Watkins limeiwezesha England kupata ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Uholanzi, ambao unaifanya timu hiyo kuingia Fainali ya Michuano ya UEFA Euro 2024 Uholanzi ilikuwa ya kwanza kufunga kupitia kwa Xavi Simons dakika ya 7, England ikasawazisha mfungaji akiwa Harry Kane dakika ya 18 kwa njia ya penati, hivyo Fainali itapigwa Julai 14, 2024 itakuwa ni dhidi ya Hispania Jijini Berlin Nchini Ujerumani Uhispania inawania kubeba taji hilo kwa mara ya nne wakati England inawania kwa mara ya kwanza #cktvtanzania
Like
1
·262 Views