Upgrade to Pro

Je hivi ni busara kutafuta njia sahihi ya mahali unapoelekea baada ya kupotea..?
Kwanini usitafute njia sahihi kabla haujapotea..?
Je wewe ni miongoni mwa wanao subiri wapotee kwanza ndio uanze kutafuta njia sahihi...?
Kwenye mahusiano unapopata tatizo na haujui ni njia ipi sahihi ya kutatua tatizo hilo
Unalipa tatizo muda mzuri sana wa kuwa kubwa huku wewe ukihangaika kutafuta ushauri huku na kule
Hii ndio sababu huwa nasema mtu unatakiwa uzijue basic technic za kutatua matatizo kwenye mahusiano ili usiyape matatizo muda wa kukua na yawe na nguvu
Mbaya zaidi solution utakazo zipata kwa muda huu utaona ni nzuri kwasababu zimetatua tatizo lako
Lakini ukija kukaa ukafkiria utagundua ni kweli tatizo la kwanza limeisha ila umesababisha tatizo kubwa kuliko la kwanza. Hii ni kwasababu mtu ukiwa kwenye tatizo hakuna kitu unachozingatia zaidi ya kulitatua tatizo hilo unajikuta hata njia ambazo ni hatari hauoni hatari zake kwasababu focus yako unataka tu tatizo lako liishe
Je hivi ni busara kutafuta njia sahihi ya mahali unapoelekea baada ya kupotea..? Kwanini usitafute njia sahihi kabla haujapotea..? Je wewe ni miongoni mwa wanao subiri wapotee kwanza ndio uanze kutafuta njia sahihi...? Kwenye mahusiano unapopata tatizo na haujui ni njia ipi sahihi ya kutatua tatizo hilo Unalipa tatizo muda mzuri sana wa kuwa kubwa huku wewe ukihangaika kutafuta ushauri huku na kule Hii ndio sababu huwa nasema mtu unatakiwa uzijue basic technic za kutatua matatizo kwenye mahusiano ili usiyape matatizo muda wa kukua na yawe na nguvu Mbaya zaidi solution utakazo zipata kwa muda huu utaona ni nzuri kwasababu zimetatua tatizo lako Lakini ukija kukaa ukafkiria utagundua ni kweli tatizo la kwanza limeisha ila umesababisha tatizo kubwa kuliko la kwanza. Hii ni kwasababu mtu ukiwa kwenye tatizo hakuna kitu unachozingatia zaidi ya kulitatua tatizo hilo unajikuta hata njia ambazo ni hatari hauoni hatari zake kwasababu focus yako unataka tu tatizo lako liishe
Like
1
·422 Views