- Mshambuliaji Freddy Michael Kouablan 馃嚚馃嚠 amejiunga na klabu ya USM Alger akitokea Simba SC

USM Alger imemsajili mshambuliaji huyo baada ya kuachana na mshambuliaji wao Leonel Ateba #paulswai
- Mshambuliaji Freddy Michael Kouablan 馃嚚馃嚠 amejiunga na klabu ya USM Alger 馃嚛馃嚳 akitokea Simba SC 馃嚬馃嚳 鉃★笍 USM Alger 馃嚛馃嚳 imemsajili mshambuliaji huyo baada ya kuachana na mshambuliaji wao Leonel Ateba 馃嚚馃嚥 #paulswai
Like
Love
3
0 Commentarios 0 Acciones 402 Views