Bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert amempiku mfanyabiashara wa viwanda kutoka Nigeria Aliko Dangote kama mtu tajiri zaidi barani Afrika, kulingana na data ya hivi karibuni kutoka kwa Bloomberg Billionaires Index.

Bw Rupert anadhibiti Richemont, mojawapo ya makampuni makubwa zaidi ya bidhaa za anasa duniani, ambayo inamiliki chapa kama vile Cartier na Montblanc.

Thamani yake imepanda kwa $1.9bn hadi $14.3bn, na kumfanya kuwa katika nafasi ya 147 duniani, nafasi 12 mbele ya Bw Dangote.

Utajiri wa bwana Dangote umepungua kwa $1.7bn (£1.3bn) mwaka huu, na kufikia $13.4bn, Bloomberg inaripoti.

Kushuka kwa utajiri wa Bw Dangote kunadhihirisha mazingira magumu ya kiuchumi ya Nigeria, ambapo kampuni zake zinaendesha shughuli zake.


#bernaldpeter
#intellectual_and_developmental_disability_IDD
Bilionea wa Afrika Kusini Johann Rupert amempiku mfanyabiashara wa viwanda kutoka Nigeria Aliko Dangote kama mtu tajiri zaidi barani Afrika, kulingana na data ya hivi karibuni kutoka kwa Bloomberg Billionaires Index. Bw Rupert anadhibiti Richemont, mojawapo ya makampuni makubwa zaidi ya bidhaa za anasa duniani, ambayo inamiliki chapa kama vile Cartier na Montblanc. Thamani yake imepanda kwa $1.9bn hadi $14.3bn, na kumfanya kuwa katika nafasi ya 147 duniani, nafasi 12 mbele ya Bw Dangote. Utajiri wa bwana Dangote umepungua kwa $1.7bn (£1.3bn) mwaka huu, na kufikia $13.4bn, Bloomberg inaripoti. Kushuka kwa utajiri wa Bw Dangote kunadhihirisha mazingira magumu ya kiuchumi ya Nigeria, ambapo kampuni zake zinaendesha shughuli zake. #bernaldpeter #intellectual_and_developmental_disability_IDD
Like
3
· 2 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·303 Views