Upgrade to Pro

Tsh50000 - Tsh50001 / Month

Location

All University of Tanzania

Type

Contract

Status

Open

Wanahitajika Mwawakala wa Socialpop Vyuoni kote nchini.

Soma Vizuri:
Mtandao wa Socialpop Unahitaji Influencer kwa ajiri ya kuutangaza na kuwaingiza watumiaji wapya wa Vyouni kote Tanzania.

Vigezo:
Uwe unaujua vyema mtandao wa SocialPop.
Uwe unasoma chuo kinachotambulika na uwe na Cheti au kitambulisho cha Chuo.
Uwe na Uhakika wa Kupata watumiaji mpya walau 20 kwa Siku.
Maelezo menfine wasiliana nasi kwa ajiri ya Kusaini Mkataba.
Wanahitajika Mwawakala wa Socialpop Vyuoni kote nchini. Soma Vizuri: Mtandao wa Socialpop Unahitaji Influencer kwa ajiri ya kuutangaza na kuwaingiza watumiaji wapya wa Vyouni kote Tanzania. Vigezo: Uwe unaujua vyema mtandao wa SocialPop. Uwe unasoma chuo kinachotambulika na uwe na Cheti au kitambulisho cha Chuo. Uwe na Uhakika wa Kupata watumiaji mpya walau 20 kwa Siku. Maelezo menfine wasiliana nasi kwa ajiri ya Kusaini Mkataba.
Like
Love
8
3 Comments ·822 Views