Upgrade to Pro

Ni wiki ambayo imekuwa na majonzi, majonzi kutokana na kifo cha malkia Elizabeth ll ambaye zimeonesha alikuwa na uhusiano maalum na Bara la Africa.
Kwenye video hii zimeoneshwa baadh ya ziara zake alivyokuja Africa na anaonekana akiwa na baadhi ya viongozi wa bara hili kama Hayati Nelson Mandela, Raisi Paul Kagame wa Rwanda, Hayati Robert Mugabe na wengine.
Ni wiki ambayo imekuwa na majonzi, majonzi kutokana na kifo cha malkia Elizabeth ll ambaye zimeonesha alikuwa na uhusiano maalum na Bara la Africa. Kwenye video hii zimeoneshwa baadh ya ziara zake alivyokuja Africa na anaonekana akiwa na baadhi ya viongozi wa bara hili kama Hayati Nelson Mandela, Raisi Paul Kagame wa Rwanda, Hayati Robert Mugabe na wengine.
Like
Haha
Love
10
4 Comments ·228 Views ·191 Views