Maana au ujumbe wa tattoo umewekwa kwa kuzingatia sehemu au mahali iliyochorwa hiyo tattoo, rangi iliyotumika kuichora hiyo tattoo, na mtindo uliotumika kuchora kwa tattoo husika
Kabla hatujachambua orodha yetu ya tattoo maarafu na maana zake, unahitaji kujua mambo mengine ambayo ni muhimu
1. Sehemu ambayo tattoo imechorwa au imekaa kwenye mwili ina maana kubwa, hasa kama ikiwa imewekwa au kuchorwa mahali fulani kwa ishara kama vile juu ya moyo, nyuma ya sikio au katika sehemu ya siri ya mwili.
2. Rangi iliyotumika kuchora hiyo tattoo - rangi ya tattoo inaweza kubadilisha kabisa maana. Ua rose nyekundu inaashiria upendo wa kimapenzi na shauku, wakati Ua rose la bluu mara nyingi hutumika kuashiria upendo usioweza kupatikana.
3. Mtindo uliotumika kuchora tattoo ina maana zaidi. Mfano tattoo ya simba dume kuwakilisha nguvu....au inaweza tu kuwa heshima.
Huwezi kutambua maana halisi ya tattoo kwa kuiangalia pekee. Ni vyema ukauliza maana kwa mtu mwenye tattoo hiyo ilikupata majibu sahihi na maana sahihi.
Ikiwa watajibu vyema, endelea na uulize kuhusu maana ya tattoo walizochora. Ikiwa hawaonekani na nia ya kuzungumza juu ya tattoo zao, usilazimishe zaidi.
Tattoo zinaweza kushikilia maana na kumbukumbu za kina sana, na hata machungu ambayo watu wanapendelea kuweka faragha au siri.

·370 Views