Upgrade to Pro

๐—•๐—จ๐—š๐—”

Ile siku ya Wananchi huwezi amini sijalipwa hata Senti moja (Akiwa Clouds FM)

Mimi Yanga ni nyumbani nipo tayari kutoa 90%ya nguvu yangu kuitumikia Yanga,,Halafu watu walielewa vibaya mimi mbona sijamanisha kuwa na Siongeni na Eng Hersi,Nilichomanisha ni kuwa sijampigia simu muda mrefu kutokana na Kila mtu Kwa sasa yupo busy ila mbona huwa tunaonana sana Salamander Tower pale.

Mimi ni Mwananchi hata familia yangu,, Watanzania wanalijua hilo.(Leo kwenye Manara TV)
๐—•๐—จ๐—š๐—” Ile siku ya Wananchi huwezi amini sijalipwa hata Senti moja (Akiwa Clouds FM) Mimi Yanga ni nyumbani nipo tayari kutoa 90%ya nguvu yangu kuitumikia Yanga,,Halafu watu walielewa vibaya mimi mbona sijamanisha kuwa na Siongeni na Eng Hersi,Nilichomanisha ni kuwa sijampigia simu muda mrefu kutokana na Kila mtu Kwa sasa yupo busy ila mbona huwa tunaonana sana Salamander Tower pale. Mimi ni Mwananchi hata familia yangu,, Watanzania wanalijua hilo.(Leo kwenye Manara TV)
Love
Like
3
1 Comments ยท255 Views