Mousa N’daw Kocha Msaidizi wa Klabu ya Yanga amethibitisha kuondoka Klabuni hapo baada ya Uongozi wa Yanga kukubali ombi lake la kuondoka Klabuni hapo baada ya kupokea ofa nono kutoka katika moja ya timu nchini Libya.
Taarifa za uhakika kutoka Yanga zinadai kuwa Abdi Himid Moalin ambaye alikua Kocha mkuu wa KMC, atachukua nafasi ya N’daw na huenda akatangazwa mapema hii Leo.
#KastulElias

1 Commentaires
·275 Vue