ππ¨π ππ§ππ‘π’ πππ NI π¦ππ¦π π‘π πͺππ’
Ule muda wetu umekaribia Derby ya Kariakoo, Wanawake Derby, hii inaitwa ni sisi na wao ama wao na sisi.
Simba Queens wanaingia na kumbukumbu ya kuizabua Yanga Princess katika Ligi Kuu ya Wanawake msimu uliopita wakati, Yanga Princess wao wakiingia na kumbukumbu ya kuizabua Simba Queens katika mchezo wa Ngao ya Jamii.
Ni jumatano hii saa 10 jioni, dimba ni KMC Complex.