Upgrade to Pro

Usimdhuru mtu au usipigane na mtu yeyote kwasababu amekuchukulia mtu mpenzi wako, amekusaliti au yeye ndiye chanzo cha kuachwa kwasababu unaweza kujikuta upo kwenye changamoto ambayo itagharimu maisha yako

Yawezekana ukajisababishia shida ambayo inaepukika, pigania maisha yako si mwanamke au mwanaume ambaye ameamua kukusaliti au kumpenda mtu mwingine tofauti na wewe rafiki

Kubaliana na ulichokiona kisha usihi moyo wako na akili yako kukubaliana na matokeo ya hicho ulichokiona kisha nenda zako kwa amani

Acha ubabe au kisasi hakibalishi chochote kile kilichofanyika ila kisasi kinaweza kukuweka hatarini zaidi na kuleta majuto yanayoweza kugharimu maisha yako au uhuru wako wote

Kutoshindania penzi ni ukomavu mkubwa sana na kumwacha salama bila kumuumiza nao ni upendo mkubwa sana na adhabu kubwa kwake
Usimdhuru mtu au usipigane na mtu yeyote kwasababu amekuchukulia mtu mpenzi wako, amekusaliti au yeye ndiye chanzo cha kuachwa kwasababu unaweza kujikuta upo kwenye changamoto ambayo itagharimu maisha yako Yawezekana ukajisababishia shida ambayo inaepukika, pigania maisha yako si mwanamke au mwanaume ambaye ameamua kukusaliti au kumpenda mtu mwingine tofauti na wewe rafiki Kubaliana na ulichokiona kisha usihi moyo wako na akili yako kukubaliana na matokeo ya hicho ulichokiona kisha nenda zako kwa amani Acha ubabe au kisasi hakibalishi chochote kile kilichofanyika ila kisasi kinaweza kukuweka hatarini zaidi na kuleta majuto yanayoweza kugharimu maisha yako au uhuru wako wote Kutoshindania penzi ni ukomavu mkubwa sana na kumwacha salama bila kumuumiza nao ni upendo mkubwa sana na adhabu kubwa kwake
Like
Love
2
1 Commentarii ·70 Views