Upgrade to Pro

Nani kuvunja rekodi ya MRISHO NGASSA kati ya SAMATA NA MSUVA, ikiwa hd sasa samata ana magoli22 na msuva akiwa amefikisha magoli24 na ikumbukwe kuwa ngasa ameacha kuichezea timu ya Taifa stars akiwa na mabao 25 sasa ni nani ata tangulia kuivunja hiy rekodi kati ya samata au msuva#TAIFASTARS
Nani kuvunja rekodi ya MRISHO NGASSA kati ya SAMATA NA MSUVA, ikiwa hd sasa samata ana magoli22 na msuva akiwa amefikisha magoli24 na ikumbukwe kuwa ngasa ameacha kuichezea timu ya Taifa stars akiwa na mabao 25 sasa ni nani ata tangulia kuivunja hiy rekodi kati ya samata au msuva#TAIFASTARS🇹🇿
Like
1
·89 Views