Upgrade to Pro

AMEANDIKA FARHAN KIHAM

Tumeamka tena Watoto wenye rizki ya Mama Ntilie tunafahamu jioni itakapofika basi tutakula na kusaza.

Tumeamka tunaingia kupigana, kwetu hatuna urithi wa mali wala fedha bali tumerithi shida za familia, tumerithi mzigo mzito unaopaswa kufika kwa mgongo wetu.

Sisi ndio wale kwetu Mtu akifa hakuna wasifu wa Marehemu, zaidi alizaliwa akazurura na kufa! Tupo hapa kulazimisha kubadili historia, tumekubaliana haturudi nyumbani bila ushindi..

Sisi ndio wale kwetu Mtu akifa hakuna wasifu wa Marehemu, zaidi alizaliwa akazurura na kufa! Tupo hapa kulazimisha kubadili historia, tumekubaliana haturudi nyumbani bila ushindi.
AMEANDIKA FARHAN KIHAM ✍️ Tumeamka tena Watoto wenye rizki ya Mama Ntilie tunafahamu jioni itakapofika basi tutakula na kusaza. Tumeamka tunaingia kupigana, kwetu hatuna urithi wa mali wala fedha bali tumerithi shida za familia, tumerithi mzigo mzito unaopaswa kufika kwa mgongo wetu. Sisi ndio wale kwetu Mtu akifa hakuna wasifu wa Marehemu, zaidi alizaliwa akazurura na kufa! Tupo hapa kulazimisha kubadili historia, tumekubaliana haturudi nyumbani bila ushindi.. Sisi ndio wale kwetu Mtu akifa hakuna wasifu wa Marehemu, zaidi alizaliwa akazurura na kufa! Tupo hapa kulazimisha kubadili historia, tumekubaliana haturudi nyumbani bila ushindi.
Like
Love
2
·104 Views