Upgrade to Pro

Katika maisha usimuamini mtu yeyote maana ata unayecheka naye kwenye Raha ukipata shida atakukataa na kukususa kama hakujuwi kikubwa, marafiki ata ndugu tuishinao tu lakini tukae na neno Moja kwamba ulipokuwa tumboni mwamama Ako ulikuwa peke Ako na ukifa utazikwa peke Ako kwahiyo Fanya yote washirikishe marafiki pia ndugu lakini mwenyewe maamuzi ya mwisho ya mambo yako yote ni wewe mwenyewe
Katika maisha usimuamini mtu yeyote maana ata unayecheka naye kwenye Raha ukipata shida atakukataa na kukususa kama hakujuwi kikubwa, marafiki ata ndugu tuishinao tu lakini tukae na neno Moja kwamba ulipokuwa tumboni mwamama Ako ulikuwa peke Ako na ukifa utazikwa peke Ako kwahiyo Fanya yote washirikishe marafiki pia ndugu lakini mwenyewe maamuzi ya mwisho ya mambo yako yote ni wewe mwenyewe ✍️✍️
Like
1
1 Comments ·101 Views