NIKITAZAMA NILIKOTOKA NA NINAKOKWENDA MDA MWINGINE NAKATA TAMAA HATA KAMA LIZIKI MAFUNGU SABA YANGU HAISOGEI JAPO NIINUSE HATA HALUFU TU MAKE WALIOKUWA NYUMA YANGU SASA NAWAONA MBELE YANGU NA NIKIJITAZAMA NIKO KAMA WALIVYO WENGINE SASA SHIDA NINI MUNGU KAMA ULIWEZA KUWAVUSHA WANA WAIZILAERI JANGWANI NAAMINI NA MIMI KESHO YANGU ITAKUWA BORA KULIKO LEO. AMINA

Like
Love
2
· 0 Commentaires ·0 Parts ·135 Vue