Klabu ya Real Madrid C.F. imepanga kuingilia kati dili la kumsajili wao mchezaji wa klabu ya Sunderland Jobe Bellingham.
Lakini ugumu unakuja kuwa klabu ya Borussia Dortmund ilishamaliza mazungumzo kamili na wazazi wa kijana huyo na Jobe mwenyewe ameonesha kuvutiwa na Borussia Dortmund kuliko Real Madrid.
FOLLOW ME @david davoo

🚨 Klabu ya Real Madrid C.F. imepanga kuingilia kati dili la kumsajili wao mchezaji wa klabu ya Sunderland Jobe Bellingham.
Lakini ugumu unakuja kuwa klabu ya Borussia Dortmund ilishamaliza mazungumzo kamili na wazazi wa kijana huyo na Jobe mwenyewe ameonesha kuvutiwa na Borussia Dortmund kuliko Real Madrid.
FOLLOW ME @david davoo
1 Comments
·125 Views