Staa wa muziki wa BongoFleva "BarakaThePrince" ameibua mazito baada ya kuachia maoni ya wazi juu ya Album za Wasanii zilizotoka hivi karibuni na kusema nyimbo mbaya na kuwakumbusha Watu kwamba wanatakiwa wawape sikio Wasanii wengine na wasiache kusema ukweli panapotakiwa kusema ukweli,.....
Wasanii ambao wametoa album hivi karibuni ni pamoja na Rayvanny na Marioo
Kupitia ukurasa wa Instagram "BarakaThePrince" ame-share maoni ambayo yameleta Sintofahamu kwa Mashabiki wa Muziki.....
Barakadaprince yupo sahihi?.......
#daviddavoo

·105 Vue