Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshauri kuwa watu hawapaswi kulinganisha vitu ambavyo hawafanani navyo.

"Usishindane na sehemu ambayo hauwezi kulingana nayo."

- Miguel Gamondi, kocha wa zamani wa Yanga.

Umeelewa nini kupitia maneno haya _________?
Kocha wa zamani wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshauri kuwa watu hawapaswi kulinganisha vitu ambavyo hawafanani navyo. "Usishindane na sehemu ambayo hauwezi kulingana nayo." - Miguel Gamondi, kocha wa zamani wa Yanga. Umeelewa nini kupitia maneno haya _________?
Like
1
· 1 Comments ·0 Shares ·354 Views