Fanya kazi kwa moyo, kama umechagua maisha kujitoa na kusaidia watu basi jitoe kwa moyo bila manung’uniko yoyote yale. Usiangalie malipo na kuwa hela mbele kuliko utu. Saidia watu kwa kile Mungu alichokujalia kama wewe ni mwalimu wafundishe watu, kama wewe ni mwanamziki imba nyimbo nzuri za kuelimisha na kuburudisha watu hata kama watu hawakupi shukrani. Wewe kama ni mwandishi andika watu wajifunze kile unachojua kwa kufanya hivi utakua umeikomboa dunia.

·166 Views