Upgrade to Pro

Mwanaume mmoja alinunua sets 4 ya maua na card 4 akaenda kwa cashier kwaajili ya kulipia, Cashier alikua mwanamke, akamuangalia jamaa akaona Pete ya ndoa kwenye kidole cha yule mwanaume cashier akamtania jamaa kwa kumwabia "Pete yako imeniumiza moyo" (akimaanisha kampenda jamaa ila mwamba kashaoa) alafu akamuuliza "unampelekea nani maua yote haya?"

Jamaa akajibu "set moja ya maua nampelekea mama yangu, kwasababu Baba yangu kafariki na siku zote alikua akimpelekea mama zawadi kama hii.. hivyo akanifundisha namna kuonyesha upendo"

"Set ya pili ya maua nampelekea mke wangu kwasababu nampenda na amenifundisha namna ya kupokea na kutunza upendo"

"Set ya 3 ya maua nampelekea binti yangu, kwasababu ni kazi yangu kumfundisha vipi anatakiwa atendewe na anaempa upendo wake"

Yule mwanaume akashika Set ya 4 ya maua akampa cashier na akamwambia" Hii set ya 4 chukua wewe nataka nikufundishe kuwa mwanaume anaweza kukupa zawadi na kukuonyesha upendo bila kuhitaji chochote kutoka kwako... nakutakia siku njema"

Na akaondoka zake.
Mwanaume mmoja alinunua sets 4 ya maua na card 4 akaenda kwa cashier kwaajili ya kulipia, Cashier alikua mwanamke, akamuangalia jamaa akaona Pete ya ndoa kwenye kidole cha yule mwanaume cashier akamtania jamaa kwa kumwabia "Pete yako imeniumiza moyo" (akimaanisha kampenda jamaa ila mwamba kashaoa) alafu akamuuliza "unampelekea nani maua yote haya?" Jamaa akajibu "set moja ya maua nampelekea mama yangu, kwasababu Baba yangu kafariki na siku zote alikua akimpelekea mama zawadi kama hii.. hivyo akanifundisha namna kuonyesha upendo" "Set ya pili ya maua nampelekea mke wangu kwasababu nampenda na amenifundisha namna ya kupokea na kutunza upendo" "Set ya 3 ya maua nampelekea binti yangu, kwasababu ni kazi yangu kumfundisha vipi anatakiwa atendewe na anaempa upendo wake" Yule mwanaume akashika Set ya 4 ya maua akampa cashier na akamwambia" Hii set ya 4 chukua wewe nataka nikufundishe kuwa mwanaume anaweza kukupa zawadi na kukuonyesha upendo bila kuhitaji chochote kutoka kwako... nakutakia siku njema" Na akaondoka zake.
Like
Love
2
·25 Views