Upgrade to Pro

KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya.
Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele.
#sokachampions
#milardayo
#cafchampionsleague2024
#soccersportstz
KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya. Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele🤣🤣. #sokachampions #milardayo #cafchampionsleague2024 #soccersportstz
·37 Views