Upgrade to Pro

#Baba_Levo amesema kuelekea Mchezo wa Yanga sc dhidi ya Al hilal, Yeye ataweka kiasi cha Tsh Mil 9 kwa Yanga Sc kwani ana uwakika zaidi Atashinda ..

" Nikiwa Dubai kesho naiwekea Yanga Sc Mil Tisa .." ameandika Baba levo

Baba levo ameandika Hayo kupitia kwenye Mtandao wake wa Instagram

#kastulelias
#Baba_Levo amesema kuelekea Mchezo wa Yanga sc dhidi ya Al hilal, Yeye ataweka kiasi cha Tsh Mil 9 kwa Yanga Sc kwani ana uwakika zaidi Atashinda .. โœ๏ธ" Nikiwa Dubai kesho naiwekea Yanga Sc Mil Tisa ๐Ÿ™๐Ÿ™ .." ameandika Baba levo Baba levo ameandika Hayo kupitia kwenye Mtandao wake wa Instagram #kastulelias
Like
1
1 Comments ยท40 Views