Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ali Kamwe , ataondoka kesho mchana kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya droo ya upangaji wa makundi ya AFCON mwaka huu 2025, mashindano yatakayofanyika nchini humo.

Mwenyekiti wa wasemaji kesho yupo safarini kuelekea nchini Morocco akiwa amealikwa kama mgeni maalumu watakao kuwepo katika mkutano huo
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga SC, Ali Kamwe , ataondoka kesho mchana kuelekea nchini Morocco kwa ajili ya droo ya upangaji wa makundi ya AFCON mwaka huu 2025, mashindano yatakayofanyika nchini humo. Mwenyekiti wa wasemaji kesho yupo safarini kuelekea nchini Morocco akiwa amealikwa kama mgeni maalumu watakao kuwepo katika mkutano huo
Like
1
· 1 Comentários ·0 Compartilhamentos ·39 Visualizações