Mataifa mengi makubwa ambayo yanajiweza kifedha, miundombinu Nk lakini bado waliamini kwenye kuwapatia wachezaji wenye ubora mkubwa uraia

‎Mataifa kama Ufaransa, England Ubelgiji ni miongoni mwa mataifa ambayo yameweka nguvu juu ya wachezaji wenye ubora kuwashawishi hili waweze kuwa raia wao

‎Nazani jambo la msingi kwa sasa sio mchezaji aombe uraia wenda tukakosa top players kunahaja sasa ya sisi kama taifa kuwaomba wale top level ambao mataifa yao hayana mpango nao

‎Huu utakuwa utaratibu mzuri ambao mataifa mengi ambayo yanafaida hufanya hivyo maana ni rahisi kupata wenye ubora kuliko wachache ambao wanaomba

‎Kama mtu mkongo anachezea Ufaransa sembuse Mgana kuchezea Tanzania.

‎Note: Ukweli kama taifa kwa sasa kuna level ya wachezaji ambao tunawataka kwenye kikosi chetu cha taifa stars haipatikani kwa wingi yaani kuna idadi ndogo ambayo inaubora ambao unaoweza kusaidia taifa kwenye level kubwa ya kimashindano
Mataifa mengi makubwa ambayo yanajiweza kifedha, miundombinu Nk lakini bado waliamini kwenye kuwapatia wachezaji wenye ubora mkubwa uraia ‎ ‎Mataifa kama Ufaransa, England Ubelgiji ni miongoni mwa mataifa ambayo yameweka nguvu juu ya wachezaji wenye ubora kuwashawishi hili waweze kuwa raia wao ‎ ‎Nazani jambo la msingi kwa sasa sio mchezaji aombe uraia wenda tukakosa top players kunahaja sasa ya sisi kama taifa kuwaomba wale top level ambao mataifa yao hayana mpango nao ‎ ‎Huu utakuwa utaratibu mzuri ambao mataifa mengi ambayo yanafaida hufanya hivyo maana ni rahisi kupata wenye ubora kuliko wachache ambao wanaomba ‎ ‎Kama mtu mkongo anachezea Ufaransa sembuse Mgana kuchezea Tanzania. ‎ ‎Note: Ukweli kama taifa kwa sasa kuna level ya wachezaji ambao tunawataka kwenye kikosi chetu cha taifa stars haipatikani kwa wingi yaani kuna idadi ndogo ambayo inaubora ambao unaoweza kusaidia taifa kwenye level kubwa ya kimashindano
Like
1
· 1 Comments ·0 Shares ·31 Views