BREAKING Chelsea inakaribia kukubaliana na Man United kumsajili Winga Alejandro Garnacho, .

Chelsea tayari imefanya mazungumzo na kambi kuu ya mchezaji na sasa inajiandaa kufanya makubaliano na Manchester United juu ya kukamilisha Usajili huo.

Source Fabrizio Romano
🚨BREAKING Chelsea inakaribia kukubaliana na Man United kumsajili Winga Alejandro Garnacho, 🇦🇷 🔵. Chelsea tayari imefanya mazungumzo na kambi kuu ya mchezaji na sasa inajiandaa kufanya makubaliano na Manchester United juu ya kukamilisha Usajili huo. Source Fabrizio Romano
Like
1
· 1 Comments ·0 Shares ·8 Views