ndugu zangu leo naomba nitoe taalifa y ndugu yetu YUSUPH MGWAB
HUYU BABA ANATATIZO LA FIGO!! ZOTE MBILI ZIMEFAIL
ANAISHI KWA MSAADA WA DIALYISIS! KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO KUBWA IMEJITOKEZA KWENYE LINE YA KUFANYIA DIALYISIS
NJIA IMEKUFA KWA MAANA AKIINGIZA KWENYE MASHINE DAMU ZINATOKA SI KAWAIDA INAPELEKEA DAMU KUMWAGIKA NA KWA SASA PANAPASWA MRIJA UWEKWE MKONONI AU MU
MGUUNI !!!
TUNAHITAJI 1,800,000TZSH ( MILLION MOJA NA LAKI NANE)
WAKATI NAANDAA NAMNA YA KUMSAIDIA JANA IJUMAA ALIENDA KUFANYA TENA DIALYSIS LAKINI ALISHINDWA KABISA ALIPATA BARIDI KALI KAMA KIFAFA NA ILIBIDI AFANYIWE DIALYSIS ALIWA KWENYA MASHINE YA OXYGEN!
HALI HII IMEKUWA HATARI NA IMEFANYA MADAKTARI WAMUANDIKIEEE
NAOMBA NDUGU NIWAOMBE TUMSAIDIE HUYU BABA KWANI HATOWEZA KUFANYA DIALYSIS MPAKA APATE SINDANO HIZO 5 NA IKUMBUKE FIGO ZOTE MBILI ZIMEKUFA DIALYSIS NDIO UHAI WAKE
0745787549
Mpesa
JABILI ALLY ISSA
"KUTOA NI MOYO SI UTAJURI "
ndugu zangu leo naomba nitoe taalifa y ndugu yetu YUSUPH MGWAB
HUYU BABA ANATATIZO LA FIGO!! ZOTE MBILI ZIMEFAIL
ANAISHI KWA MSAADA WA DIALYISIS! KIUKWELI KUNA CHANGAMOTO KUBWA IMEJITOKEZA KWENYE LINE YA KUFANYIA DIALYISIS
NJIA IMEKUFA KWA MAANA AKIINGIZA KWENYE MASHINE DAMU ZINATOKA SI KAWAIDA INAPELEKEA DAMU KUMWAGIKA NA KWA SASA PANAPASWA MRIJA UWEKWE MKONONI AU MU
MGUUNI !!!
TUNAHITAJI 1,800,000TZSH ( MILLION MOJA NA LAKI NANE)
WAKATI NAANDAA NAMNA YA KUMSAIDIA JANA IJUMAA ALIENDA KUFANYA TENA DIALYSIS LAKINI ALISHINDWA KABISA ALIPATA BARIDI KALI KAMA KIFAFA NA ILIBIDI AFANYIWE DIALYSIS ALIWA KWENYA MASHINE YA OXYGEN!
HALI HII IMEKUWA HATARI NA IMEFANYA MADAKTARI WAMUANDIKIEEE
NAOMBA NDUGU NIWAOMBE TUMSAIDIE HUYU BABA ๐ช๐ช๐ช KWANI HATOWEZA KUFANYA DIALYSIS MPAKA APATE SINDANO HIZO 5 NA IKUMBUKE FIGO ZOTE MBILI ZIMEKUFA DIALYSIS NDIO UHAI WAKE ๐ฃ๐ฃ๐ฅ๐ฅ๐ฅ
0745787549
Mpesa
JABILI ALLY ISSA
"KUTOA NI MOYO SI UTAJURI " ๐