Upgrade to Pro

Mshambuliaji Kassim Rajani (22) yupo kwenye majaribio Simba SC Tanzania

Mchezaji huyo mwenye uraia wa Canada alikua akichezea klabu ya FC RUSHDEN& DIAMONDS ya nchini uingereza

Nafasi yake anayoimudu uwanjani ni kiungo,yupo kwenye majaribio kwenye viunga vya msimbazi. #NestoShayoUPDATES
Mshambuliaji Kassim Rajani (22) yupo kwenye majaribio Simba SC Tanzania Mchezaji huyo mwenye uraia wa Canada alikua akichezea klabu ya FC RUSHDEN& DIAMONDS ya nchini uingereza Nafasi yake anayoimudu uwanjani ni kiungo,yupo kwenye majaribio kwenye viunga vya msimbazi. #NestoShayoUPDATES
Love
1
1 Σχόλια ·1χλμ. Views