Читать далее
🚨 Klabu ya Real Madrid C.F. ipo tayari kusikiliza ofa ya mkopo juu ya Mchezaji wao raia wa Brazil 🇧🇷 Endrick Felipe Moreira. Klabu itakayohitaji kumsajili kwa mkopo mchezaji huyo inatakiwa kuwasiliana na uongozi wa Los Blancos 🤍🖤🧡. FOLLOW US.
Love
1
· 1 Комментарии ·0 Поделились ·174 Просмотры