Mamia ya Raia wa Burkina Faso wanaoishi Ufaransa wameandamana nchini Ufaransa kushinikiza Rais wa mpito wa Burkina Faso, Ibrahim Traore aondoke madarakani kwani wanadai kiongozi huyo ni Dikteta.

Baada ya sakata hili baadhi ya Watu wanadai huenda Waandamanaji hao wamepangwa na Serikali ya Ufaransa baada ya hivi karibuni Ibrahim Traore kukata urafiki na mazoea na nchi hiyo ambayo kwa muda mrefu inadaiwa ilikuwa ikiinyonya Burkina Faso hasa kwenye eneo la madini.

Traore tangu aingie madarakani amekuwa akipingwa sana na baadhi ya mataifa yenye nguvu Duniani, na hivi sasa Marekani inamtuhumu kuwa anatumia Madini ya Burkina Faso kwa manufaa yake binafsi siyo ya Wananchi wote.
Mamia ya Raia wa Burkina Faso wanaoishi Ufaransa wameandamana nchini Ufaransa kushinikiza Rais wa mpito wa Burkina Faso, Ibrahim Traore aondoke madarakani kwani wanadai kiongozi huyo ni Dikteta. Baada ya sakata hili baadhi ya Watu wanadai huenda Waandamanaji hao wamepangwa na Serikali ya Ufaransa baada ya hivi karibuni Ibrahim Traore kukata urafiki na mazoea na nchi hiyo ambayo kwa muda mrefu inadaiwa ilikuwa ikiinyonya Burkina Faso hasa kwenye eneo la madini. Traore tangu aingie madarakani amekuwa akipingwa sana na baadhi ya mataifa yenye nguvu Duniani, na hivi sasa Marekani inamtuhumu kuwa anatumia Madini ya Burkina Faso kwa manufaa yake binafsi siyo ya Wananchi wote.
Like
2
· 0 التعليقات ·0 المشاركات ·55 مشاهدة