TAFAKARI YA FALSAFA YA TOLTEC

"Mimi si hadithi,mimi ni muumba wa ndoto yangu ,na leo nitaishi kwa uhuru wa kweli "

Toltec Proverbs

Tumefungwa kwa jinsi ambavyo tumekubali kuwa vile ambavyo watu wamehitaji kutusimulia mbele ya watu hata wakiwapo kwetu

Simulizi zimekuwa minyororo ya kutufunga na ndani yake ukipenye vizuri ni kututia utumwa zidi yao, una itwa Boss lakini uhalisia hata siyo unacho itwa lakini kwakua unahitaji kuishi kwa jinsi unavyo itwa unakuwa hivyo na kujikuta unaingia ndani ya deni linalo kufanya uwe bandia

Kuna watu wamepoteza thamani zao kwasababu tu wameambiwa hawana thamani yoyote ile , ndiyo maana unajikuta huwezi kuwa huru bila fulani si kuwa huwezi kuwa huru ila umechagua nafsi yako ibebe aina hiyo ya simulizi

Leo tafuta muda wa kuachana na makubaliano ya zamani uliyo ingia kwaye, vile vifungo ulivyo kubali kuingia ili upate sifa vile ulivyo ingia kupitia hofu unapaswa kuvivunja kabisa ,leo jipe wakati wa kuandika hadithi mpya

Anza kupandikiza vitu vipya ndani yako ,pandikiza kwa kiasi, ujasiri,uhuru na bila kutafuta deni ambalo litakufunga tena minyororo

Leo ni siku yangu ya kwanza kuwa huru

TAFAKARI YA FALSAFA YA TOLTEC "Mimi si hadithi,mimi ni muumba wa ndoto yangu ,na leo nitaishi kwa uhuru wa kweli " Toltec Proverbs Tumefungwa kwa jinsi ambavyo tumekubali kuwa vile ambavyo watu wamehitaji kutusimulia mbele ya watu hata wakiwapo kwetu Simulizi zimekuwa minyororo ya kutufunga na ndani yake ukipenye vizuri ni kututia utumwa zidi yao, una itwa Boss lakini uhalisia hata siyo unacho itwa lakini kwakua unahitaji kuishi kwa jinsi unavyo itwa unakuwa hivyo na kujikuta unaingia ndani ya deni linalo kufanya uwe bandia Kuna watu wamepoteza thamani zao kwasababu tu wameambiwa hawana thamani yoyote ile , ndiyo maana unajikuta huwezi kuwa huru bila fulani si kuwa huwezi kuwa huru ila umechagua nafsi yako ibebe aina hiyo ya simulizi Leo tafuta muda wa kuachana na makubaliano ya zamani uliyo ingia kwaye, vile vifungo ulivyo kubali kuingia ili upate sifa vile ulivyo ingia kupitia hofu unapaswa kuvivunja kabisa ,leo jipe wakati wa kuandika hadithi mpya Anza kupandikiza vitu vipya ndani yako ,pandikiza kwa kiasi, ujasiri,uhuru na bila kutafuta deni ambalo litakufunga tena minyororo Leo ni siku yangu ya kwanza kuwa huru
Love
1
· 0 Comments ·0 Shares ·89 Views