Nadhani SocialPop inahitaji Maboresho Makubwa sana na Uwekezaji wa Kutosha.
Video Upload Limit ya file ni 10 MB tu means ukiwa na Video file yenye zaidi ya 10 MB huwezi kuiupload SocialPop, nadhani kuna namna server hamjaiweka sawa. Tuingie Mitamboni tena!
Tungepata pia Mtu wa UX & UI angefit sana katika kudesign Home Page na baadhi ya Maeneo ya App iwe na Muonekano Smart na Unaovutia zaidi.
Ninawaamini Developers hamna kazi ndogo, lifanyieni hili kazi. Fungueni Fursa za Uwekezaji kwa Mikataba rafiki na yenye faida kwa wote Investors tuwekeze Mtandao ukue zaidi. Tanzania Hatuwezi kuwa Chini kila siku, ni wakati wetu wa Kupiga hatua.