Ndugu zangu mwezi umeanza juu naomba tuwakumbuke watoto Wetu yatima hata kwa kilo moja ya MCHELE au UNGA

Charity Tour 2025

Changia mahitaji muhimu
CHAKULA
MAVAZI
Twende tukale na kucheza nao kuonyesha pendo juu Yao watoto yatima
Changia kidogo pesa au mahitaji

kupitia
MPESA:CALL
0745787549
Jabil Ally Issa.

Kila mchango wako ni tabasamu la mtoto na tumaini jipya la kesho

Ndugu zangu mwezi umeanza juu naomba tuwakumbuke watoto Wetu yatima hata kwa kilo moja ya MCHELE au UNGA Charity Tour 2025 Changia mahitaji muhimu CHAKULA MAVAZI Twende tukale na kucheza nao kuonyesha pendo juu Yao watoto yatima Changia kidogo pesa au mahitaji kupitia MPESA:CALL 0745787549 Jabil Ally Issa. Kila mchango wako ni tabasamu la mtoto na tumaini jipya la kesho 🙏
0 Commentaires ·0 Parts ·147 Vue