Upgrade to Pro

MAMBO UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU MTOTO

1- Epuka Kumpa mtoto wako kila kitu anachoomba. Atakua akiamini kuwa ana haki ya kupata kila anachotaka.

2-Epuka kucheka mtoto wako anapozungumza maneno ya matusi. Atakua akifikiri kutoheshimu ni burudani.

3-Epuka kubaki asiyejali tabia mbaya ambayo anaweza kuionyesha bila kumkemea kwa tabia yake mbaya. Atakua anafikiri kuwa hakuna sheria kwenye jamii.

4- Epuka kuokota chochote ambacho mtoto wako anakiharibu. Atakua akiamini kwamba wengine lazima wawajibike kwa majukumu yake.

5- Epuka kumwacha atazame kipindi chochote kwenye TV. Atakua akifikiri kuwa hakuna tofauti kati ya kuwa mtoto na kuwa mtu mzima.

6- Epuka kumpa mtoto wako pesa zote anazoomba. Atakua akifikiria kupata pesa ni rahisi na hatasita kuiba kwa ajili yake.

7- Siku zote epuka kujiweka upande wake anapokosea majirani, walimu wake, polisi. Atakua anafikiri kila anachofanya ni sawa, wengine ndio wamekosea.

8- Epuka kumwacha peke yake nyumbani unapoenda ibadani, la sivyo atakua anafikiri Mungu hayupo.

Kazi yetu juu ya watoto wetu isiwe bure.
MAMBO UNAYOPASWA KUJUA KUHUSU MTOTO 1- Epuka Kumpa mtoto wako kila kitu anachoomba. Atakua akiamini kuwa ana haki ya kupata kila anachotaka. 2-Epuka kucheka mtoto wako anapozungumza maneno ya matusi. Atakua akifikiri kutoheshimu ni burudani. 3-Epuka kubaki asiyejali tabia mbaya ambayo anaweza kuionyesha bila kumkemea kwa tabia yake mbaya. Atakua anafikiri kuwa hakuna sheria kwenye jamii. 4- Epuka kuokota chochote ambacho mtoto wako anakiharibu. Atakua akiamini kwamba wengine lazima wawajibike kwa majukumu yake. 5- Epuka kumwacha atazame kipindi chochote kwenye TV. Atakua akifikiri kuwa hakuna tofauti kati ya kuwa mtoto na kuwa mtu mzima. 6- Epuka kumpa mtoto wako pesa zote anazoomba. Atakua akifikiria kupata pesa ni rahisi na hatasita kuiba kwa ajili yake. 7- Siku zote epuka kujiweka upande wake anapokosea majirani, walimu wake, polisi. Atakua anafikiri kila anachofanya ni sawa, wengine ndio wamekosea. 8- Epuka kumwacha peke yake nyumbani unapoenda ibadani, la sivyo atakua anafikiri Mungu hayupo. Kazi yetu juu ya watoto wetu isiwe bure.
Love
1
·271 Views