Upgrade to Pro

JINSI YA KUNYOA MAVUZI USITOKEWE NA VIPELE.
Unyoaji wa mavuzi kwa baadhi ya wanawake umekua ukileta maumivu ya kutesa kutokana na kushindwa kujua ni jinsi gani ya kunyoa.

KWANZA NIWAPE PONGEZI WOTE MSIOPENDA MAVUZI YAOTE maana niuchafu huo.

HATUA ZA KUEPUKA

1.USITUMIE wembe uliotumika zadi ya mawara 3.
Hii itakusaidia wewe kuepuka maumivu wakati wa kinyoa.

2.USISHEE kiwembe na mtu .
Wapo wanaoshiriki wembe wa kunyolea na waume zao "Haina shida ila sio salam sana. wasizidi watu 2 .

3.USITUMIE WEMBE Mchafu..

4.USICHANGANYE NYEMBE zilizotumika yaani ukawa unatafuta makali kwa kubadilisha wembe huu na huu hapo hapo.

ZINGATIA HAYA.
1.Ubora wa wembe unaoutumia.

2.Jaribu kununua mashine ya kunyolea . ukiweza.

4.Kama vuzi ni refu sana punguza na mkasi ndio upitishe kiwembe.

5.Nyoa sehem zote zenye nywele ( Hadi mkunduni kwa wale wenye nazo) .

6.Nyoa hadi kwenye mashavu ya K
Hapa na sititiza maana baadhi ya wanawake wanapaacha sasa hizi nywele kutokana na joto zinaungua kuwa myeupe. Wakati wa show zikiloa tu zinatisha kiasi kwamba wataalamu wa kuchimba chumvi tunashindwa kujilia vyetu.
Jitaidi ufikie hapo.
(Kama hupaoni TUMIA KIOO).

JINSI YA KUNYOA SASA

Ukitaka kunyoa mavuzi vizuri na usipate mapele wala muwasho zingatia haya UTANIPA MRESHO.

1.UNYOE KWA KUPANDISHA JUU.
Unaponyoa mavuzi usinyoe kwa kupandisha juu shusha chini kuelekea kwenye KINEMBE KWA JUU.

2.USIKANDAMIZIE WEMBE .pitisha wembe polepole sio haraka haraka maana utajiumiza mwenyewe..

3.LOANISHA KWA POVU ZITO KULAINISHA VINYWELEO.
Wapo siojua kuwa povu linalainisha ngozi.

4.KATIKATI nyoa kwa kuelekea kwenye K yaani paja la kushoto na paja la kulia shusha wembe kwenye K.

Baada ya hapo jikague kama unamavuzi ya Mkundu usiache nyoa nayo kwa kupitia pembeni ya tako la kushoto na kulia.

MWANAMKE USAFI .

MALIZIA NA ZA KWAPANI SASA SIUNAJUA.

BAADA YA KUNYOA SASA
Paka mafuta ya nywele kwa siku 3.
JINSI YA KUNYOA MAVUZI USITOKEWE NA VIPELE. Unyoaji wa mavuzi kwa baadhi ya wanawake umekua ukileta maumivu ya kutesa kutokana na kushindwa kujua ni jinsi gani ya kunyoa. KWANZA NIWAPE PONGEZI WOTE MSIOPENDA MAVUZI YAOTE maana niuchafu huo. HATUA ZA KUEPUKA 1.USITUMIE wembe uliotumika zadi ya mawara 3. Hii itakusaidia wewe kuepuka maumivu wakati wa kinyoa. 2.USISHEE kiwembe na mtu . Wapo wanaoshiriki wembe wa kunyolea na waume zao "Haina shida ila sio salam sana. wasizidi watu 2 . 3.USITUMIE WEMBE Mchafu.. 4.USICHANGANYE NYEMBE zilizotumika yaani ukawa unatafuta makali kwa kubadilisha wembe huu na huu hapo hapo. ZINGATIA HAYA. 1.Ubora wa wembe unaoutumia. 2.Jaribu kununua mashine ya kunyolea . ukiweza. 4.Kama vuzi ni refu sana punguza na mkasi ndio upitishe kiwembe. 5.Nyoa sehem zote zenye nywele ( Hadi mkunduni kwa wale wenye nazo) . 6.Nyoa hadi kwenye mashavu ya K Hapa na sititiza maana baadhi ya wanawake wanapaacha sasa hizi nywele kutokana na joto zinaungua kuwa myeupe. Wakati wa show zikiloa tu zinatisha kiasi kwamba wataalamu wa kuchimba chumvi tunashindwa kujilia vyetu. Jitaidi ufikie hapo. (Kama hupaoni TUMIA KIOO). JINSI YA KUNYOA SASA Ukitaka kunyoa mavuzi vizuri na usipate mapele wala muwasho zingatia haya UTANIPA MRESHO. 1.UNYOE KWA KUPANDISHA JUU. Unaponyoa mavuzi usinyoe kwa kupandisha juu shusha chini kuelekea kwenye KINEMBE KWA JUU. 2.USIKANDAMIZIE WEMBE .pitisha wembe polepole sio haraka haraka maana utajiumiza mwenyewe.. 3.LOANISHA KWA POVU ZITO KULAINISHA VINYWELEO. Wapo siojua kuwa povu linalainisha ngozi. 4.KATIKATI nyoa kwa kuelekea kwenye K yaani paja la kushoto na paja la kulia shusha wembe kwenye K. Baada ya hapo jikague kama unamavuzi ya Mkundu usiache nyoa nayo kwa kupitia pembeni ya tako la kushoto na kulia. MWANAMKE USAFI . MALIZIA NA ZA KWAPANI SASA SIUNAJUA. 👏👏BAADA YA KUNYOA SASA Paka mafuta ya nywele kwa siku 3.
·222 Views