WAKATI MWINGINE KUENDELEA KULIBEBA LINALOHITAJI KUACHILIWA NDICHO CHANZO CHA STRESS
Msongo wa mawazo unadhoofisha uwezo wa kufikri, unavurunga mfumo wako wa homoni, hisia, kujiamini, uchumi, utulivu nk katika maisha yako na unaweza kukusababishia maradhi yasiyopona.
Yale usiyoweza kuyabadili yaachilie ili yawe sehemu ya hadithi ya maisha yako maana yashakuwa wala usiyabebe ukawa unajilaumu kila leo, ambayo hata ungelia au kujilaumu hayawezi kubadilika yapokee na yawe sehemu ya hadithi ya mapito yako.
Fanya mabadaliko ili ubaki salama. Usiogope kufanya mabadaliko katika lile linalohitaji mabadaliko kwa usalama wako (afya, roho, uchumi) na kila eneo la ustawi wako.
Kukosea au kuumizwa kupo ila litatue ili lisiongeze tatizo jingine katika maisha yako

·60 Views