Upgrade to Pro

KUOLEWA HAKUKUFANYI UWE MKE MWEMA.

Nikweli Kuolewa Hakukufanyi Wewe Mwanamke Kuwa Mke Mwema Bali Kuna kufanya Wewe Kuwa Mke Wa Mtu. Ndo Maana Baada Ya Ndoa Utasikia Mke Wa Juma, Mke Wa John na Majina Mengine Ya Kufanana Na Haya.

Kuna Baadhi Ya Wanawake Wanaishi Maisha Ya Kisistaduu. Hawataki kufanya Kazi Za Nyumban, Hawataki Kusaidia Kazi Za Nyumban. Linapokuja Swala La Kufua Na Kuosha Vyombo Basi Utasikia Mimi sipendi Au sijazoea Kuosha wataosha Wengine. Je Ukiolewa Nani Atafanya Hizo Kazi kwa Niaba Yako?? Au Wafikiri Kwamba Utajua Kufanya Kila Kitu Katika Usiku Wa Ndoa Yako??

Maana maandiko matakatifu yanatuambia "Yeye Ajipatiaye mke mwema amepata Neema toka kwa Mungu. Haya semi Yeye Ajipatiaye mwanamke mwema na kumwoa.

Hii inamaana kwamba Mwanamke Wapaswa kujifunza na kuishi Mfano Wa mke mwema hata kabla haujaingia katika Ndoa.

Kunatofauti kubwa kati ya mwanamke bora na mke bora. Mumeo anapaswa kupata mke bora ili ubora wako Wewe kama mke uwaimarishe wote kama mwili mmoja.

Nafikiri Wanawake Wanapaswa kujifunza yafwatayo wakiwa bado nyumbani kwao hata kabla ya kuanza maisha ya Ndoa.

Jifunze Kujitoa kwa Ajili Ya wengine. Na Anza Kujitoa kwa ajili ya watu wenye uhitaji.

Jifunze Kusema Samahani (Nisamehe) hata kama huoni makosa yako.

Jifunze Kupigana Vita vyako kwa Sala na Dua Mbalimbali. Sio unashida au matatizo unakimbilia kwa waganga.

Jifunze kuwa Mama Wa wengi. Maana ukiolewa Mumeo ni mtoto wako wa kwanza hvyo utakuwa mama Wa Mumeo, Mama Wa Wanao na hata Watoto Wengine Wanaokuzunguka Unapaswa kuwajali kama Wanao.

Jifunze Upole Na Uvumilivu Sio Mumeo Anaongea Na Wewe Unaongea. Mumeo Anagomba Na Wewe Unagomba. Mke mwema ni mpole, kuhusu Uvumilivu sio shida kidogo basi hata mtaa wa Tatu wamesha jua jana ulilala njaa.

Jifunze Kupika Vizuri, Wanaume Wanapenda Chakula Kitamu Basi Hakikisha Wewe Ni Fundi Katika Majiko Yako Yote Mawili ili Mumeo Ashibe Tumboni na kule kwingine.

KAMA HUNA D MBILI HUWEZI ELEWA
KUOLEWA HAKUKUFANYI UWE MKE MWEMA. Nikweli Kuolewa Hakukufanyi Wewe Mwanamke Kuwa Mke Mwema Bali Kuna kufanya Wewe Kuwa Mke Wa Mtu. Ndo Maana Baada Ya Ndoa Utasikia Mke Wa Juma, Mke Wa John na Majina Mengine Ya Kufanana Na Haya. Kuna Baadhi Ya Wanawake Wanaishi Maisha Ya Kisistaduu. Hawataki kufanya Kazi Za Nyumban, Hawataki Kusaidia Kazi Za Nyumban. Linapokuja Swala La Kufua Na Kuosha Vyombo Basi Utasikia Mimi sipendi Au sijazoea Kuosha wataosha Wengine. Je Ukiolewa Nani Atafanya Hizo Kazi kwa Niaba Yako?? Au Wafikiri Kwamba Utajua Kufanya Kila Kitu Katika Usiku Wa Ndoa Yako?? Maana maandiko matakatifu yanatuambia "Yeye Ajipatiaye mke mwema amepata Neema toka kwa Mungu. Haya semi Yeye Ajipatiaye mwanamke mwema na kumwoa. Hii inamaana kwamba Mwanamke Wapaswa kujifunza na kuishi Mfano Wa mke mwema hata kabla haujaingia katika Ndoa. Kunatofauti kubwa kati ya mwanamke bora na mke bora. Mumeo anapaswa kupata mke bora ili ubora wako Wewe kama mke uwaimarishe wote kama mwili mmoja. Nafikiri Wanawake Wanapaswa kujifunza yafwatayo wakiwa bado nyumbani kwao hata kabla ya kuanza maisha ya Ndoa. 👉 Jifunze Kujitoa kwa Ajili Ya wengine. Na Anza Kujitoa kwa ajili ya watu wenye uhitaji. 👉 Jifunze Kusema Samahani (Nisamehe) hata kama huoni makosa yako. 👉Jifunze Kupigana Vita vyako kwa Sala na Dua Mbalimbali. Sio unashida au matatizo unakimbilia kwa waganga. 👉Jifunze kuwa Mama Wa wengi. Maana ukiolewa Mumeo ni mtoto wako wa kwanza hvyo utakuwa mama Wa Mumeo, Mama Wa Wanao na hata Watoto Wengine Wanaokuzunguka Unapaswa kuwajali kama Wanao. 👉Jifunze Upole Na Uvumilivu Sio Mumeo Anaongea Na Wewe Unaongea. Mumeo Anagomba Na Wewe Unagomba. Mke mwema ni mpole, kuhusu Uvumilivu sio shida kidogo basi hata mtaa wa Tatu wamesha jua jana ulilala njaa. 👉Jifunze Kupika Vizuri, Wanaume Wanapenda Chakula Kitamu Basi Hakikisha Wewe Ni Fundi Katika Majiko Yako Yote Mawili ili Mumeo Ashibe Tumboni na kule kwingine. KAMA HUNA D MBILI HUWEZI ELEWA😂😂
·55 Views