Upgrade to Pro

Mchepuko hana huruma kaka! Unajiumiza wewe na hatima yako.

Mchepuko hana huruma na wanao kaka, kuhusu ada, chakula, mavazi nk

Mchepuko hawezi kukuwazia mema kaka, kama kukuombea kama mkeo na wanao.

Mchepuko hawezi kuja kukuuguza kaka, ukiwa unaumwa ila wanao, mkeo na jamaa zako kaka.

Hebu tazama hali ya maisha ya wanao na mahitaji yao je huumii moyoni kaka angu?

Unajisikiaje ukiwakuta wamejikunyata kwa kukosa mahitaji huku mkeo amejiinamia kwa hudhuni huku hajala nk

Umekula mchemsho bar kaka sahihi lakini huko nyumbani wameshindia mikate na maji yawezekana hawana uhakika wa mlo wa usiku ila ulipoondoka ulisema huna hela.

Au basi kaka nisamehe mimi nakutafakarisha tu sina cha kukufindisha maana pesa ni zako.
Mchepuko hana huruma kaka! Unajiumiza wewe na hatima yako. Mchepuko hana huruma na wanao kaka, kuhusu ada, chakula, mavazi nk Mchepuko hawezi kukuwazia mema kaka, kama kukuombea kama mkeo na wanao. Mchepuko hawezi kuja kukuuguza kaka, ukiwa unaumwa ila wanao, mkeo na jamaa zako kaka. Hebu tazama hali ya maisha ya wanao na mahitaji yao je huumii moyoni kaka angu? Unajisikiaje ukiwakuta wamejikunyata kwa kukosa mahitaji huku mkeo amejiinamia kwa hudhuni huku hajala😭 nk Umekula mchemsho bar kaka sahihi lakini huko nyumbani wameshindia mikate na maji😭 yawezekana hawana uhakika wa mlo wa usiku ila ulipoondoka ulisema huna hela. Au basi kaka nisamehe mimi nakutafakarisha tu sina cha kukufindisha maana pesa ni zako.🚶
·50 Views