MAPENZ hayana KIAPO
KUACHANA KUPO
Hisia za mapenz zinakuja mda wowote na kutoweka mda wowote.unaweza jikuta kuna mtu umetokea kumpenda sana na mawasiliano yenu yakawa ya juu sana kana kwamba saa ikipita bila sms au simu unahis kuchanganyikiwa.
. Unaweza jiachia kwake na kuhis huyo ndo MUME au MKE wako wa kesho.
Lakin ghafla upepo unaweza badilika mkajikuta mmoja wenu au wotee kila mmoja hana tena shauku kuwasiliana na mwenzake. Unaweza piga simu 8 ikapokelewa 1 waweza tuma sms 10 ukajibiwa 1.hapo ndipo utahis dunia inakuelemea.
Pale unapo ona unae mpenda yeye haoneshi kutambua upendo wako wala hajali maumivu yako bas Upweke na Unyonge ndo huingia...... Kinacho uma ktk mapenz ni kumpenda mtu ambae hana malengo nawe.
...Mawasiliano yanapo pungua ina maana na upendo unapungua.
Jana alikupenda sana na kwako sms na simu zake ziliingia kila mara.ila leo anapo jiskia ndipo hufanya hivyo. Usijiumize kichwa kubali kuwa hana hisia nawe tena yupo anae mfanya awe bize
.. Usiish kwa kujitesa juu ya mtu asiye jali hisia zako.usimvimbishe kichwa akahisi huwez ishi bila yeye
Usiogope kuachia ngazi kisa unampenda sana na mulipanga meng sana bali ogopa kumuacha mtu unae jua anakupenda.
Tambua kwa sasa hakupend
Kwa sasa hakuheshimu
Kwa sasa hakuthamin
Usiishi kwa historia ya jana
Kumbu kumbu za nyuma nyakat za furaha zisikupotoshe kuwa siku atabadilika na kuwa mwema kwako
Mapenz Hisia mda wowote zinabadilika.jiandae kwa mabadiliko ili uishi kwa amani.. Mda wowote anaweza kukuacha au we kumuacha
Msimamo wako ndo nguzo yako
Kubali kuwa amekuchoka
Kisha ishi bila yeye

🤡🤡🤡
1 Comments
·322 Views