UKAVU UKENI
Kwa kawaida uke wa mwanamke unapaswa uwe au ute ambao huongezeka wakati wa tendo la ndoa lakini kwa baadhi ya wanawake wamekua wakikosa raha wakati wa tendo la ndoa kutokana na uke kuwa mkavu. Sababu kubwa ya ukavu ukeni ni kushuka kwa kiwango cha homoni ya kike ya ostrojeni ambayo ndio ina kazi ya kufanya uke uwe na ute na laini wakati wote.
SABABU ZA UKE KUWA MKAVU:
Ukomo wa hedhi.
Hii ndio sababu kuu ya uke kukosa unyevu nyevu kutokana na kushuka kwa kiwango cha homoni ya ostrojeni mwilini. Wengi hudhani tatizo litaisha baada ya mda lakini ukweli ni kwamba tatizo huongezeka siku zinavyozidi kwenda kama halijatafutiwa ufumbuzi.
Kujifungua na kunyonyesha kutokana na kushuka kwa kiwango cha ostrojeni
Ukosefu wa maandalizi ya kutosha kabla ya tendo la ndoa
Msongo wa mawazo, hofu, historia mbaya ya ngono na shida nyingine za kisaikolojia
Matibabu ya vimbe kwenye uzazi, saratani, allergy
Uvutaji wa sigara
Upasuaji kuondoa mifuko ya mayai
Sabuni, lotion, manukato yatumikayo ukeni
Kukosa hamu ya kufanya mapenzi husababisha ukavu na ukavu husababisha kukosa hamu
UKAVU UKENI HUAMBATANNA NA DALILI NYINGINE KAMA:
Maumivu na kuungua hasa wakati wa tendo la ndoa
Michubuko, miwasho, kuungua sehem ya ukeni
Kutokwa matone ya dam baada ya tendo
Kupungua kwa hamu ya tendo
MATOKEO MABAYA AU MADHARA YA UKE KUWA MKAVU
Michubuko ukeni
Hatari ya maambukizi ya bacteria au fungus
UTI (maambukizi kwenye njia ya mkojo) zinazojirudia
Kutokufika kileleni na kutokufurahia mapenzi
Kutokujiamini
MATIBABU YA UKE MKAVU:
Dawa za kuongeza ostrojeni. Hazitumiki kwa wajawazito na wanaonyonyesha.
Vilainishi vya uke (femicare)
Kuonana na mtaalam wa saikolojia-kama tatizo linatokana na sababu za kisaikolojia.

👉Ukomo wa hedhi.

👉Kujifungua na kunyonyesha kutokana na kushuka kwa kiwango cha ostrojeni
👉Ukosefu wa maandalizi ya kutosha kabla ya tendo la ndoa
👉Msongo wa mawazo, hofu, historia mbaya ya ngono na shida nyingine za kisaikolojia
👉Matibabu ya vimbe kwenye uzazi, saratani, allergy
👉Uvutaji wa sigara
👉Upasuaji kuondoa mifuko ya mayai
👉Sabuni, lotion, manukato yatumikayo ukeni
👉Kukosa hamu ya kufanya mapenzi husababisha ukavu na ukavu husababisha kukosa hamu
UKAVU UKENI HUAMBATANNA NA DALILI NYINGINE KAMA:
👉Maumivu na kuungua hasa wakati wa tendo la ndoa
👉 Michubuko, miwasho, kuungua sehem ya ukeni
👉Kutokwa matone ya dam baada ya tendo
👉Kupungua kwa hamu ya tendo
MATOKEO MABAYA AU MADHARA YA UKE KUWA MKAVU
👉Michubuko ukeni
👉Hatari ya maambukizi ya bacteria au fungus
👉UTI (maambukizi kwenye njia ya mkojo) zinazojirudia
👉Kutokufika kileleni na kutokufurahia mapenzi
👉Kutokujiamini
MATIBABU YA UKE MKAVU:
👉Dawa za kuongeza ostrojeni. Hazitumiki kwa wajawazito na wanaonyonyesha.
👉Vilainishi vya uke (femicare)
👉Kuonana na mtaalam wa saikolojia-kama tatizo linatokana na sababu za kisaikolojia.
🍷
·56 مشاهدة