Upgrade to Pro

Mwanamke usiwe mvivu, jitahidi kutumia karafuu kwa sababu wengi wamekuja na shuhuda nzuri hata kiafya tafiti zinaonesha wanawake wenye matatizo ya kupata maumivu makali wakati wa hedhi inasaidia kutuliza

Chukua unga wa karafuu, au punje walau kumi za karafuu, chemsha pamoja na tangawizi kunywa kila siku hasubuhi na jioni

Karafuu inasafisha sana mirija ya uzazi, hivyo unaweza kutumia kulinda afya yako ya Uzazi.

Faida ya zaida kwa mwanamke, Karafuu inasaidia sana kuondoa harufu mbaya ukeni, kuondoa ukavu ukeni, kuongeza hamu ya tendo la ndoa

Pia kwa matatizo ya choo kigumu inasaidia

Sitegemei kama utakosa furaha karafuu nyumbani kwako. Endelea kujifunza kwenye hili group, endelea kuchukua hatua, haya magonjwa ya uzazi yanatatulika

Mwanamke usiwe mvivu, jitahidi kutumia karafuu kwa sababu wengi wamekuja na shuhuda nzuri hata kiafya tafiti zinaonesha wanawake wenye matatizo ya kupata maumivu makali wakati wa hedhi inasaidia kutuliza Chukua unga wa karafuu, au punje walau kumi za karafuu, chemsha pamoja na tangawizi kunywa kila siku hasubuhi na jioni Karafuu inasafisha sana mirija ya uzazi, hivyo unaweza kutumia kulinda afya yako ya Uzazi. Faida ya zaida kwa mwanamke, Karafuu inasaidia sana kuondoa harufu mbaya ukeni, kuondoa ukavu ukeni, kuongeza hamu ya tendo la ndoa Pia kwa matatizo ya choo kigumu inasaidia Sitegemei kama utakosa furaha karafuu nyumbani kwako. Endelea kujifunza kwenye hili group, endelea kuchukua hatua, haya magonjwa ya uzazi yanatatulika 🤡🤡🤡
Haha
Love
3
·203 Views